Monday, August 6, 2018

MDHAMINI MPYA SIMBA SC KUJENGA UWANJA WA BUNJU

PAMOJA na kutambulisha jezi zake mpya za msimu ujao, klabu ya Simba imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya A1 Products kupitia kinywaji cha Mo Energy Drink wenye thamani ya Sh. Milioni 250.Kaimu Rais Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amesema fedha hizo zitaenda katika mradi wa ujezi wa Uwanja mpya wa klabu huko Bunju.

No comments:

Post a Comment

MATOKEO YA UPONYAJI UGONJWA WA UKIMWI

Mgonjwa aliyekuwa na virusi vya HIV atangazwa kutokuwa tena na virusi hivyo Watafiti nchini Uingereza wamebainisha kwamba raia mmoja wa taif...